Wanawake wajasiliamali wa halmashauri ya manispaa ya SUMBAWANGA mkoani
RUKWA wenye sifa za kugombea uongozi wameshauriwa kugombea katika
uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake
wajasiliamali wa halmashauri ya manispaa ya SUMBAWANGA mkoani RUKWA
SKOLASTIKA MANDONDO na kuwataka kujitokeza kwa wingi ili endapo
watachaguliwa wawe chachu ya maendeleo ya wanawake na jamii kwa ujumla
Mbunge wa jimbo la SUMBAWANGA mjini EAISHI HILAL ametoa msaada wa
shs milioni 15 kwa ajili ya kuendeleza mitaji ya kikundi cha
wajasiliamali cha NYOTA na kueleza kwamba haki za kimsingi za wanawake
katika jamii zitapiganiwa na wanawake wenyewe bila kusubiri kuonewa
huruma au upendeleo wa aina yoyote ile



0 comments:
Post a Comment