![]() |
| GEORGE SIMBACHAWENE |
Naibu Waziri SIMBACHAWENE amesema mamlaka hizo zinapaswa kuhakikisha kuwa zinafanya uchambuzi na tathmini ya kina juu ya athari za Kijamii na Kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya kufuta Milki zinazopendekezwa.
Aidha, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ANGELLA KAIRUKI amezitaka Mahakama za Mwanzo nchini kutopokea Kesi zinazohusiana na Migogoro ya Ardhi.
Katika hatua nyingine, Bunge limewasilisha na kuridhia Azimio la kumpongeza Spika ANNE MAKINDA kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jukwaa la Mabunge ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC PF.




0 comments:
Post a Comment