![]() |
Watu hao ni pamoja na ndugu na wauguzi waliokuwa karibu na mtoto mmoja wa miaka MIWILI aliyefariki dunia nchini MALI kwa ugonjwa wa EBOLA.
Mtoto huyo alikuwa amesafiri kwa basi kutoka nchi jirani ya GUINEA akiwa na dalili ya ugonjwa huo wa EBOLA. Tarehe 23 mwezi Octoba nchini ya MALI ilitangaza kuwa ina mgonjwa mmoja wa EBOLA.




0 comments:
Post a Comment