![]() |
Duru ya kwanza ya mazungumzo ya nyuklia kati ya pande 3za Mawaziri wa Mambo ya Nje wa IRAN na MAREKANI pamoja na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya CATHERINE ASHTON imemalizika Mjini MUSCUT, OMAN
Mazungumzo hayo ya pande tatu kati ya Waziri wa Mambo ya Nje wa IRAN, MUHAMMAD JAWAD ZARIF na Waziri wa Mambo ya Nje wa MAREKANI JOHN KERRY pamoja na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya CATHERINE ASHTON yamepangwa kuendelea tena Mjini MUSCAT.
Mazungumzo ya mwisho baina ya pande hizo tatu yalifanyika tarehe 14 hadi 16 mwezi uliopita Mjini VIENNA nchini AUSTRIA ambapo ndani yake pande hizo zilijadiliana masuala mbalimbali yanayoleta tofauti kati yao.




0 comments:
Post a Comment