Saturday, 8 November 2014

Je,Liverpool itazuia kasi ya Chelsea?

 
Diego Coast ashangilia baada ya kufunga bao

 Kurudi kwa viongozi wa ligi ya Uingereza Chelsea uwanjani Anfiled jumamosi kunarejesha kumbukumbuzisizofurahisha kwa upande wa Liverpool pamoja na hali yao ya baadaye ambayo si nzuri sana.
Ni miezi sita tu ambapo kuteleza kwa nahodha wa Liverpool Steven Gerard kuliisaidia Chelsea kupata ushindi muhimu dhidi ya timu hiyo ya Mersyside, mechi ilioathiri matokeo ya liverpool na ari yao ya kuwania taji la ligi hiyo.
Raheem Sterling
 Awali mwishoni mwa mwezi Aprili ,kombe hilo lilionekana likinyemelewa na Liverpool.
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa Diego Coast ataanza dhidi ya Liverpool katika mechi ya jumamosi.
Mchezaji huyo wa Uhispania amekuwa akiugua jeraha la paja na aliorodheshwa katika kikosi dhidi ya Maribor katikati ya wili lakini hakucheza

0 comments:

Post a Comment