![]() |
| Mwanamke nchini Pakistan |
Polisi nchini Pakistan
wanawashikilia wanaume watatu kwa kosa la utumizi dawa za kulevya na
ubakaji kwa mgonjwa aliyefuata matibabu katika hospitali ya serikali.
Mume wa mwanamke huyo alimwacha mkewe kitambo kifupi tu na aliporejea eneo alipokuwa ,hakumkuta ila mtoto na begi la mwanamke huyo vimetelekezwa.
Saa kadhaa baadaye,alimpata mkewe akiwa amelala katika chumba chenye kiza ,kilichomo katika hospitali hiyo na kuthibitika kuwa amebakwa .
baada ya fahamu kumrejea mwanamke huyo alisema kwanza alichomwa sindano na wanaume hao watatu kisha wakaanza kumbaka kwa zamu.Wanaume wote hao ni wanafanya hospitalini hapo.




0 comments:
Post a Comment