![]() |
| Mwili wa hayati Rais Michael Sata utazikwa leo mjini Lusaka Zambia |
Mazishi ya kitaifa yanafanyika
nchini Zambia kumuaga hayati Rais wa nchi hiyo Michael Sata aliyefariki
hospitalini mjini London Uingereza mwezi jana.
Katika wiki chache zilizopita, wanachi wamekuwa wakitoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi huyo ambaye mwili wake ulikuwa umelazwa katika majengo ya bunge.
![]() |
| Rais Sata alifariki akipokea matibabu mjini London Uingereza |
Rais Sata atazikwa katika eneo lenye makaburi yaliyotengewa Marais wa nchi hiyo.
Taifa hilo kwa sasa linaongozwa na kaimu Rais huku uchaguzi mkuu ukipangwa kufanyika katika muda wa miezi michache ijayo.





0 comments:
Post a Comment