![]() |
| Mswada wa kuhalalisha uvutaji wa Bangi utaidhinshwa na baraza la Senate wiki ijayo |
Baraza la mawaziri la Jamaica, limeidhinisha mswada ambao unahalalisha watu kumiliki kiwango kidogo cha Marijuana.
Mswada huo,pia unatawezesha kuwepo halmashauri itakayokua ikitoa leseni za kupandwa , kuuzwa na kusambazwa kwa Marijuana kwa sababu za kimatibabu.
Lakini uvutaji wa Bangi katika maeneo ya umma haitaruhusiwa. Mswada huo huenda ukaidhinishwa na baraza la Senate wiki ijayo.




0 comments:
Post a Comment