![]() |
| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt TITUS KAMANI |
Waziri KAMANI ametoa agizo hilo kufuatia malalamiko ya wawekezaji wa mifugo waliopewa vitalu katika RANCHI ya Uvinza kuwa wamekuwa wakichomewa mazizi ya mifugo yao, nyumba za watumishi , kuporwa mifugo yao kupigwa na kulazimishwa kutoa fedha na baadhi ya watumishi wa kampuni iliyopewa kitalu cha kuwinda katika pori la Akiba la MOYOWOSI wilayani KASULU




0 comments:
Post a Comment