![]() |
| Msemaji wa Jeshi la Polisi Bi Advera Bulimba |
“Walikuwa ni majambazi wengi, walivamia na kuanza kuwashambulia askari wetu, walifanikiwa kuwaua askari wetu wawili na kuchukua silaha… Polisi imelaani tukio hilo, msako mkali umeanza na milioni 20 itatolewa kwa atakaefanikisha Majambazi hawa kukamatwa“– Advera Bulimba, msemaji wa Jeshi la Polisi akiongea on ITV
Majambazi hawa walivamia wakiwa na silaha za moto, mabomu ya kurusha kwa mkono na mapanga ambapo hili linakuwa tukio jingine kulisikia baada ya lile la Majambazi kufanya vivyo hivyo kwa kituo cha Polisi Geita.




0 comments:
Post a Comment