![]() |
| Miss Tanzania 2014 Lilin Kamazama |
Baada ya Sitti Abbas Mtemvu kuvua taji kwa tuhuma za kudanganya umri
na kupewa taji hilo aliyeshika nafasi ya pili kwenye shindano hilo
la Miss Tanzania Lilian Kamazima mengine ya ibuka kuwa siyo raia wa
Tanzania na kwamba anatokea Rwanda
Muandaaji wa shindano hilo Hashimu Lundenga amesema kuwa tetesi hizo siyo za kweli, “Sisi tunajua Lilian ni Mtanzania, tunaangalia cheti cha kuzaliwa alichotuletea kamati yetu ambacho kinaonyesha alizaliwa Tanzania, pia ni Mtanzania, hayo yanayosemwa kwamba Lilian siyo Mtanzania hatuyajui kabisa”, alisema Lundenga




0 comments:
Post a Comment