![]() |
| Add captionMarco Verratti akishangilia baada ya kuipatia timu yake ya PSG goli la pili |
Michuano ya klabu bingwa ULAYA emeendelea jana kwa michezo ya makundi manne kuchezwa
PSG ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani imeifunga BARCELONA mabao MATATU kwa MAWILI,wakati mchezo mwingine wa kundi F APOEL NICOSIA imeichapa AJAX bao MOJA kwa BILA.
BAYERN MUNICH imendelea kutamba katika kundi la E baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa BILA dhidi ya CSKA MOSCOW, wakati MANCHESTER CITY imetoka sare ya kufungana bao MOJA kwa MOJA na AC ROMA.
SCHALK 04 imetoka sare ya kufungana bao MOJA kwa MOJA na MARIBOR katika mchezo wa kundi la G na CHELSEA ikachomoza na ushindi wa bao MOJA kwa BILA dhidi ya SPORTING.
BATE BORISOV imeitandika ATHLETIC BILIBAO mabao MAWILI kwa MOJA katika kundi la H na SHAKHTAR DONESK ikatoka sare ya kufungana mabao MAWILI kwa MAWILI na FC PORTO




0 comments:
Post a Comment