![]() |
| Add capMfanyakazi mmoja wa RED CROSS auwawa kwa bomu nchini UKRAINE
Sat Oct 04 2014
Mfanyakazi mmoja wa RED CROSS auwawa kwa bomu nchini UKRAINE |
Shirila la Kimataifa la MSALABA MWEKUNDU limeeleza kwamba mfanyakazi mmoja wa shirika hilo ameuawa baada ya bomu kuanguka karibu na ofisi ya shirika hilo mjini DONETSK, Mashariki mwa UKRAINE.
Mfanyakazi huyo wa RED CROSS alikuwa ni raia wa USWISS na tayari Wizara yya Mambo ya nje ya UKRAINE imewashutumu waasi wanaoiunga mkono RUSSIA kuhusika na kitendo hicho .
Mapigano katika uwanja wa ndege wa DONETSK yamekuwa yakiendelea licha ya Rais wa UKRAINE, PETRO POROSHENKO kusisitiza juu ya kuheshimiwa kwa mkataba wa amani baina ya pande hizo mbili




0 comments:
Post a Comment