
Mabaki
ya Mwili wa Aliyekuwa Mwalimi mkuu shule ya msingi Muholo kata ya Luana
wilayani Ludewa katika Mkoa wa Njombe aliyepotea ktk mazingira ya
kutatanisha tareh 29 mei 2015 Majuto Haule mwili wake umekutwa umefukiwa
katika shamba la mwalimu Vincent Haule Nje kidogo ya kijiji cha Muholo
leo



0 comments:
Post a Comment