![]() |
| Mafuriko yaua 14 na 20 wahama makazi yao nchini MADAGASCAR |
Watu 14 wamekufa nchini MADAGASCAR na wengine 20, kuyahama makazi ya kufuatia mafuriko yalisabaishwa na mvua kubwa nchini humo.
Mafuriko hayo yaliukumba mji mkuu ANTANANARIVO na maeneo yaliyo karibu. Utawala unasema kuwa mvua nyingi siku zijazo huenda ikasababisha madhara zaidi.
Mvua kubwa imenyesha nchini humo kwa takriban wiki mbili. Mwezi uliopita kimbunga CHEDZA kiliwaua watu 80 nchini MADAGASCAR




0 comments:
Post a Comment