![]() |
| Jenerali Davis Mwamunyange |
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, (pichani)
aonekana katika Kamandi ya Anga Kizuka iliyopo Ngerengere, mkoani
Morogoro wakati Rais Jakaya Kikwete, akizindua uwanja wa Ndege wa Kamandi hiyo.
Alisema hakuna nchi inayoweza kupata maendeleo mbalimbali kama haina jeshi imara kutokana na kuwapo vitendea kazi vya kutosha na madhubuti vinavyoimarisha jeshi hilo.
Jenerali Mwamunyange alisema katika kipindi chote cha uongozi wa Rais Kikwete, ameimarisha JWTZ na kutimiza mahitaji ya jeshi hilo.
Alisema pamoja na changamoto ndogo zilizobaki, lakini anaamini serikali ijayo itazifanyia kazi na kuendeleza pale alipoishia ili kuwa na jeshi imara.




0 comments:
Post a Comment