Baraza la Usalama la Umoja wa
Mataifa limewawekea vikwazo ikiwemo marufuku ya usafiri na kupiga tanji
mali za majenerali sita wa Sudan Kusini.
Watatu ni kutoka upande wa serikali na wengine watatu ni kutoka upande wa waasi.![]() |
| Watoto wengi wamelazimishwa kuwa wapiganaji Sudan Kusini
|
![]() |
| Majenerali waliowekewa vikwazo ni kutoka kwa serikali ya Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar |
Mjumbe wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Samantha Power amesema vikwazo hivyo ni onyo kwa wale wanaendeleza ukiukaji wa kibinadamu Sudan Kusini.





0 comments:
Post a Comment